Diamond Platnumz – Unachezaje LYRICS + LYRICS VIDEO

Diamond Platnumz – Unachezaje Lyrics Players

Unachezaje Lyrics

 

Mfukoni nina kiti (mati)
Mkononi kai (mati)
Naskia kuna kiki (wapi)
Nije kujimwaga (kati)
Oooh haitoshi, kalitaka simba la baba kaletewa
Oooh my gosh, sasa kazima anataka kubebewa
Oooh haitoshi, kalitaka simba la baba kaletewa
Oooh my gosh, sasa kazima anataka kubebewa
Nionyeshe unachezaje, unachezaje unachezaje
Kwani unachezaje, unashezaje unachezaje
Nionyeshe unachezaje, unachezaje unachezaje
Kwani unachezaje, unashezaje unachezaje

Ilikuwa mbilil 4 4, pale pale (pale pale)
Dawa ya show show show
Nahisi ndale (nahisi ndale)
Peleka vuta, taratibu songa pupa
Dereva shusha hapo mbele kwenye kuta
Huu ni mti gani (wa mchongaoma)
Ukiukata (haukatiki)
Sisi ni mti gani (wa mchongoma)
Wakitukata (hatukatiki)
Sasa waonyeshe unachezaje, unachezaje unachezaje
Kwani unachezaje, unashezaje unachezaje
Nionyeshe unachezaje, unachezaje unachezaje
Kwani unachezaje, unashezaje unachezaje

Po po li po li po po po po po po la
Po po li po li po po po po po po la
Po po li po li po po po po po po la
Waambie chombo (kinapepea)
Eeh chombo (kinapepea)
Huwaga chombo (kinapepea)
Kile chombo (kinapepea)
Aaah weeh
Acha
Aah weeh

Huo mnazi (unakatika)
Mnazi (unakatika)
Mama mnazi (unakatika)
Ona mnazi (unakatika)
Ukitaka kukatika (hukatika)
Kati kati (kati kah)
Huo mjumba (unabomoka)
Mjumba (unabomoka)
Mama mjumba (unabomoka)
Ona mjumba (unabomoka)
Ukitaka kubomoka (hubomoka)
Bobo bobo bobo boh

 

https://youtu.be/b0B_LBJjta8

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.